Breli ni nini na inafanyaje kazi?
Breli, au nukta nundu, ni maandishi ya nukta zilizoinuka yasomwayo kwa vidole. Jinsi seli ya nukta sita inavyofanya kazi na Kiswahili kinavyoandikwa kwa breli.
Kuhusu breli, ufikivu na elimu jumuishi. Tunaandika yale tuliyotaka kusoma tulipoanza.
Breli, au nukta nundu, ni maandishi ya nukta zilizoinuka yasomwayo kwa vidole. Jinsi seli ya nukta sita inavyofanya kazi na Kiswahili kinavyoandikwa kwa breli.
Kenya Swahili Braille Code (2022): ilivyokubaliwa, madaraja yake sita kuanzia herufi moja moja hadi vifupisho, na mifano kama ch, ng, ny, mw na asante.
Louis Braille (1809–1852) alipoteza uwezo wa kuona utotoni na akiwa na miaka 15 aligeuza msimbo wa nukta 12 kuwa seli ya nukta 6. Maisha yake na Panthéon.
Namba katika breli hutumia alama ya nambari (nukta 3, 4, 5, 6) na herufi a hadi j. Jinsi ya kuandika 0–9, shilingi, desimali, saa, tarehe na hisabati kwa breli.